Tanzania Darts Association (TADA) kwa kushirikiana na Moshi Club wameandaa mafunzo ya mchezo wa Vishale (Darts) yatakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 04 Oktoba 2025. Ada kwa washiriki ni Tzs 10,000 tu, Wote Mnakaribishwa.
© 2025 Eduzone. All Rights Reserved.